Wakati wa mapumziko

  • Je, unahusisha nini na wakati wa mapumziko?
  • Je, kawaida watu hufanya nini wakati wa mapumziko katika nchi unazojua?
  • Je, ukiwa hapa Norwe unaweza kufanya mambo uliyokuwa ukifanya wakati wako wa mapumziko?
  • Je, unapenda kufanya nini wakati wa mapumziko?
  • Je, wanaume na wanawake wana muda sawa wa mapumziko?

Wakati wa mapumziko ni wakati ambapo hufanyi kazi, hujatenga muda kula au kulala au kutekeleza majukumu mengine uliyopewa. Wakati wa mapumziko ni muda unaojitengea mwenyewe. Si rahisi kutenganisha kazi na wakati wa mapumziko, au kazi za nyumbani na wakati wa mapumziko.

Mke: Unahitaji kukata nyasi! Ni ndefu sana.
Mme: Naona ziko sawa jinsi zilivyo.
Mke: La! Ni ndefu sana!

Mke: Nitatumia kompyuta kwa nusu saa. Ninahitaji kusoma barua pepe zilizotumwa kutoka kazini.
Mme: Huyuko kazini kwa sasa. Utalipwa, sio?
Mke: Ninataka kufahamu yanayojiri. Ili nijiandae kwa ajili ya siku inayofuata.

  • Jadili pamoja kuhusu yanayoashiriwa hapa juu. Je, wakati wa mapumziko ni wakati upi? Je, kazi ni nini?

Tips til undervisningen

Begrepet fritid kan være fremmed for en del deltakere. Kvinner og menn kan ha ulikt forhold til bruken av fritid. Skillet mellom arbeid og fritid er ikke nødvendigvis like tydelig i alles liv. Er organiserte fritidsaktiviteter et kjent fenomen for deltakerne? Er f .eks. husarbeid en del av fritiden?

Snakk om kunstverket

Jente og gutt som slapper av og prater sammen. Maleri.
Foto: Nasjonalmuseet «Søndag» malt av Jacob Bratland (1891).

Tips til undervisninga

Fritid kan vere eit framandt omgrep for ein del deltakarar. Kvinner og menn kan ha ulike meiningar om korleis ein brukar fritid. Skiljet mellom arbeid og fritid treng ikkje å vere like tydeleg i alle sine liv. Er organiserte fritidsaktivitetar noko deltakarane er kjende med? Er t.d. husarbeid ein del av fritida?

Snakk om kunstverket

Jente og gutt som slapper av og prater sammen. Maleri.
Foto: Nasjonalmuseet «Søndag» malt av Jacob Bratland (1891).